ADROID
Kwa android the best free applction development IDE ni
ECLIPSE . kwenye ecipse utaongeza Adroid SDK pamoja na AVD( Emulator ya simu mbalimbaliza Adroid)
Guielines/tutoarilas za kudevelop zipo
tovutii ya android
WINDOWS PHONE
Kwa Windows Phone apps
soma hapa msdn utakachohitaji ni
VISUAL studio 2010 exppress for windows Phone (free) . Kama wewe ni deveoper mzuritayari na ukonjema siku nyingi tafuta VIsual STUDIO profeesional au VS developer .Zina facilities za ziada zamambo kama testing na debuging
Symbian- Etc
Just make google your friend.
NB
Ndio maana labda watu walikujibu majibu general na sio specific. Binafsi am not a pro mobile app deveoper neitehr I can callmyself a Pro- programmer lakini nimejaribu jaribu kwav itendo kufuata baadhi yatutoria.