Mama Yeyoo
Senior Member
- Mar 25, 2012
- 101
- 38
The world is not in hunger for bread,but in hunger for love....by Mother Theresa
"A section of people in a population who don't want to participate in politics, end up being ruled by wrong/incompitent leaders"__ PLATO
Hii niliipata katika online e.g.white books, ila sijajua aliyetoa hiyo nukuu.
The unseen is illustrated by the seen.
Although we give all power to the government but we can't surrender to demand them.
Nimemsahau huyu kwa anae kumbuka.
Ameondoka Gaddaf na Mubarak itakuwa CCM?
Hii ya Plato ni relevant sana nchi yenye population ya forty something inaongozwaje na rais mwenye kura mil. 5, chagua kiongozi kwa mkono wako usisubiri uchaguliwe halafu uanze kulalamika