What apps in your phone do you use the most?

Bro unamiliki page ya udaku insta? Sio kwa kuipiku whatsapp hivi.
Nami nimejua jana baada ya kuangalia, sikuwa najua kama mb's zangu nyingi huishia instagram mwanzoni nilijua YouTube ndio unimalizia mb.

Instagram nime follow pages nyingi za sports highlights na comedy nahisi ndio sababu, sina Account yoyote tofauti na yangu mara ya mwisho kupost instagram ni dec 2018 .
 
We jamaa bhana kwa hiyo ki tecno hcho kinaingia jf
 
Hizo zilizofichwa zimefichwa kwa purpose sababu zinanidefine mm ni mtu wa aina gani.

Napenda sana kushinda youtube ila mara nyingi huwa natumia Laptop. Otherwise bandwidth iliyotumika hapo kwenye youtube ingekuwa inasoma hata 60GB...
 
Yeah inatumia wake wa mbs ni kidogo kwa sababu hakuna video streaming, words ndio uchukua nafasi kubwa na picha kwa uchache. That's why.
SAWA mkuu huku unapata maarifa kuntu afu mb chache ila sasa insta!!!!!!! umbea tu thats why nme unstall insta pamoja na mama ake fb.nmebakiza jf,whatsap na telegram
 
Ni mchina?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…