Wha gwan mheshimiwa

Kwenye stesheni ya Redio Jambo nchini kenya kuna kipindi huwa kinaanza saa nane kinaitwa reggae teke teke, na watangazaji wanaotangaza wako wawili. Mmoja anaitwa MBUSI na mwingine anaitwa LION. utawasikia wakiseme mbusi na lion teke teke. Nadhani huyu aliegonga na mh kama sio MBUSI basi atakua LION.

elimu haina mwisho. Ni hayo tu

MATAGA
 
Uhuru ndio rais pekee mshkaji Afrika na kwa mabeberu alikua Obama
 
Safi Sana mwana Nipo hapa nakula vitu vyangu karibuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…