Twiga Team,
Mbona ushauri mliopewa kuhusu kuhamasisha soko hamjafanyia kazi? Unaweza kuwa na modules kibao lakini user atataka kitu specific mf HR, basi onyesha hiyo implementation peke yake, and build on that by bolting on other modules.
Kumbukeni "Look & See" is required for this, else wachache wataelewa what your effort is all about.
This solution screams of screencasts screencasts screencasts......