Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
- Thread starter
-
- #21
Katika kazi nyingi za kimataifa referees ni watu wa muhimu sana. Na wakati mwingine inabidi wawatafute na kuongea nao ana kwa ana kukuhusu wewe.
Kuna mwanafunzi wangu mmoja nilimwandikia recommendation letter nikawa nimesahau. Siku moja pisi ya kizungu inanitafuta inataka tuonane. Kumbe inataka first hand info kumhusu huyo dogo. Ubaya sasa dogo nikawa hata simkumbuki vizuri. Ilibidi nimtafute na kumwambia anitumie bio yake haraka sana. Itoshe tu kusema kuwa dogo alipata ile kazi na sasa anabadilisha BMW na Audi tu...
Zingatieni sana referees hasa katika kazi za kimataifa ambako kidogo kuna unafuu katika suala zima la nepotism na connections...
Dogo bado yuko grounded; na bado ni mtu wa karibu sana.Duu Aisee hope hajakusahau Ticha wake ata iphone 14π kama zawadi
Wamefanya la maana kukuacha! Ungetia aibu. Umeaibisha neno ni nikafauluHi wakuu.
Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahuru.
Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be selected Kwa third interview.
Nilipiga third interview, mwisho wakasema watanipa feedback after few couple of days
Sasa mwezi na wiki umepita, no feedback,,,nilijua Hawa WFP watakuwa hawana uswahili kumbe nilikosea.
How come mtu afanye multiple rounds of interview afu msimpe majibu?
Wakuu hii ni sawa?
Wait for feedback, ushauri usiwasumbue, you have to be patientHi wakuu.
Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahuru.
Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be selected Kwa third interview.
Nilipiga third interview, mwisho wakasema watanipa feedback after few couple of days
Sasa mwezi na wiki umepita, no feedback,,,nilijua Hawa WFP watakuwa hawana uswahili kumbe nilikosea.
How come mtu afanye multiple rounds of interview afu msimpe majibu?
Wakuu hii ni sawa?
Duu watu ni wachawiDuu Aisee hope hajakusahau Ticha wake ata iphone 14π kama zawadi
What if wasipotoa feedback,, 5weeks zimepitaWait for feedback, ushauri usiwasumbue, you have to be patient
UPuuzi umetoka wapiDogo acha upuuzi
UPuuz
Kuna mashirika yKo serious sana. Wanapiga simu hadi ulipopita pitaMwezi mmoja tu unatoka public kuanza kulalamika? Watu wapo busy ku run background check zenu. Wakati mwingine wanaochelewesha ni hao referees wako.
Kuwa mvumilivu. Mpaka kuitwa inaweza ikachukua hadi miezi sita. Na wakiona haya malalamiko huenda wakaipiga chini batch yenu waka shortlist wengine.
Hakika lo
KiBO Kama sio kufukua makaburi ni Nini sasaKuna mashirika yKo serious sana. Wanapiga simu hadi ulipopita pita
Sawa Ticha wa kishazi kurupushiWamefanya la maana kukuacha! Ungetia aibu. Umeaibisha neno ni nikafaulu
Nilifanya kazi hapo mwaka mmoja nikasepa zangu
Subira yavuta kheriNgojangoja yaumiza matumbo
Umewafuatilia kuwauliza feedback?Hi wakuu.
Niliomba kazi kwenye hili shirika la kimataifa, nashukuru walini shortlist. Nilipiga interview ya kwanza nkafahulu
Niliitwa Kwa second interview nkapiga nayo majibu yakaja nime be selected Kwa third interview.
Nilipiga third interview, mwisho wakasema watanipa feedback after few couple of days
Sasa mwezi na wiki umepita, no feedback,,,nilijua Hawa WFP watakuwa hawana uswahili kumbe nilikosea.
How come mtu afanye multiple rounds of interview afu msimpe majibu?
Wakuu hii ni sawa?
Mkwara mzito [emoji23][emoji23][emoji23]Dogo, Mimi ndio yule interviewer wa WFP. Ilikuwa majibu yatoke kesho ila umekuja kutusimanga huku jamvini. Huna uvumilivu kabisa dogo, nimekwazika sana na hiki kitendo. Jina lako nalifyeka sasa hivi hapa kwenye laptopu
Yah! Wengine wanatakaga na recommendation letter kabisa. Mm niliwahi kufabya kaz ofis flani kuna kadogo kaliweka kuwa kalipita ofisin kwetu wakatupigiaga kuuliza kama tuliwah kuwa nae na tabia zake zikoje.KiBO Kama sio kufukua makaburi ni Nini sasa