Tz wez au sio wezi skia
hii:wajapani wameunda mashne
ya kukamatia wez na kuipeleka
nch zifuatazo kwa majarbio URUS
baada ya nusu saa imekamata
wez 40,JAMAICA baada ya dk 20
ikakamata wez 100,GHANA baada
ya dk 15 ikakamata wez
7860,CHNA baada ya dk 10
ikakamata wez 25000,TANZANIA
baada ya dk 5 mashne ikaibiwa
nani zaidi ya mwenzake hapo?