We utakua mgeni wa michakazo. Huyo mbona bado mpya kabisaaa?!??Ukisikia mtu amechakaa ndio huyo mshkaji wa hapo katikati alikua anaanza kuchakazwa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Jamaa bado brand new hahaaaaWe utakua mgeni wa michakazo. Huyo mbona bado mpya kabisaaa?!??
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
We utakua mgeni wa michakazo. Huyo mbona bado mpya kabisaaa?!??
Sent from my Huawei Mate X using Tapatalk
Halafu ni mrembo kuliko wote.Hujaona nimeandika'anaanza kuchakazwa'.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ajahahahahahhahhahhahag ndiiiiooooo. Waturudishie tumchakazeeeeJamaa bado brand new hahaaaa
Kuna wengine watatu January walipigwa kinyerezi mpaka wakawa wanafata moto wenyewe ili kukwepa kipigo cha raia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapanga na mawe...sasa pembeni mmoja akawa kawashiwa moto kwa tairi, wengine wawili wanakatwa katwa na panga pembeni , looh waliufata wenyewe moto!!
!
Hicho Hakikuwa Kipigo Dah.