Wezesha CHADEMA 2015, shawishi wenzio popote uwapo tuwape likizo CCM

Tuko pamoja lazima 2015 isambaratike kama KANU na sio kupata likizo tu, historia yake itafutika kabisa kwenye ramani ya siasa za tz. Kila mtu ameichoka hiyo chama.





shida ipo kwa hawa UWT. Cjui hawana uzalendo na nchi yao?

 
Jimbo la njombe kaskazini kumekucha,makamanda tunajitahidi sana kusambaza ujumbe wa mabadiliko na raia wanatusapot sana,na tunaendelea kuchanja mbuga mpaka kieleweke





Jasho la mwanadamu ni zaidi ya Tanzanite likitoka kwa uchungu. God bless you wana Njombe!

 
Staki kuikia habari za CDM,CCM,CUF wala NCCR nataka kipya kinacholetwa na Hamad Rashid na Lowasa! Unaonaje hiyo combination? Iko poa ile mbaya. Tupo karibu tunakuja,tutachukua CDM,CCM,NCCR,CUF members.CDM tutaipoteza mbayaaa! Unataka kujua jina la chama? Vuta subira,usiwe na haraka,sisi ndio tumekuja kuing'oa CCM.





siamini kama mnauzalendo sana kwan utengano ni udhaifu. Huwa naamin vyama vinatengenezwa kwa ajil ya maslah ya magamba. So njooni kwa dhati watanzania wataamua! God bless Tanzania <THE FORMER TANGANYIKA>

 
Hapa ndo tumeanza kutafuta ukombozi wa kweli wa wa Tanzania wanaoendelewa kuteswa na mafisadi,kunyonywa na magamba,kuibiwa rasilimali zetu na CCM,kuhujumiwa hata kodi tunazolipa kwa kipato tunachokihangaikia kwa tabu na bila msaada wa serikali,watanzania wanaokandamizwa kila siku.
Mkuu ulieleta hoja hii nakupongeza sana ila nakupa angalizo usije ukawa pandikizi la magamba ili uone nini tunakihitaji
,na kama wewe ni mtu serious na unakerwa na hali ilivyo nchini na utawala mbovu wa CCM basi tunaweza kuwasiliana ili tupeane strategies,maana nina mambo mengi kichwani ambayo nahitaji kushirikisha wana mabadiliko wa kweli ili kuleta tija ya kweli na kujikomboa.tuwasiliane na tutengeneze strong bond itakayotuunganisha na viongozi wa CDM kuikomboa nchi hii,ni sisi twaweza.





upo sahihi kuwaza kama hivyo. Mkuu nataman sana nchi ibadilishe mfumo wa utawala kwa nini tunateseka na 2naendelea na walewale ambao wanaongoza nchi ili chama kisiwafie? Mie ni mwanaharakati, mpigania haki na wajibu. Nina uchungu na nchi, naumia kwa nini tunasema angekuwepo Nyerere angetusaidia? Ina maana Tanzania hakuna mtu wa kumzidi Nyerere? Hakuna successor wa Nyerere? Leo hii 2naogopa kuthubutu kuikomboa nchi ktk matatizo haya ya CCM? Binafsi siwezi kutumiwa na mtu au chama ambacho kitanilipa ili nipotoshe haki. Ni radhi kufa kwa ajili ya haki! Karibu kwa mikakati ni PM ideas zako 2tajua 2anzie wapi na tueleke wapi.

 
Paxman,
Nilianza kukuelewa na kufurahia Post, Mada, hoja zako ila umechemka tu pale uliposema, wewe Binafsi unataka Chadema WAJARIBU ??? !!! Una maana sisi Watanzania ni Kichwa cha Mwendawazimu kila Mtu, Chama, Wawekezaji, Mwana,- Wana- SIASA wa kuja Ncini KUJARIBU,
Ukifuta au kurekjebisha KAULI au SENTESI hii nakuunga mkono 110%, kifupi ulitakiwa useme Wewe Binafsi Unataka, Unawaunga Mkono, Unapendekeza, Unashauri kama hivi.
Kwingine kote tumekuelewa.
Nawakilisha


Ubinadamu kazi! Kama umenielewa kiasi fanyia kaz hicho ulichokielewa. Au hupendi kwa kuwa msimamo wangu ni CHADEMA? Kama ndo hvyo ruka kipengele hicho na leta hoja za kuboresha pale kabla cjafuta kauli!

 
niko jimbo la mwibara naendelea kufungua matawi ya cdm yeyote aliye karibu na mbowe slaa au zitto wambiane waone namna ya kunipiga tafu
 
Mkuu umesomeka vizuri!nimekunika ipasavyo,hakika watu tunahitaji kubadilika kimtazamo na kifikra.nchi hii inahitaji maendeleo na si vinginevyo!!Maendeleo hayaji kwa kukumbatia mfumo mmoja wa uongozi wa chama kilekile na watu walewale,tubadilikeni enyi watanzania/watanganyika!Ni CDM ndo yenye mwelekeo wa kuikomboa na kuwasaidia watanzania waishio maisha yasiyokuwa na matumaini!Ni CDM pekee yenye nia ya kurudisha nchi yetu ya Tanganyika iliyopotezwa!Tukubali kubadilika,saidia upinzani,saidia Chadema,tuone mabadiliko ya haraka Tanzania.
 
Jaman rais wa nchi si Mungu. Na siasa ina kanuni ya biashara. Ushindani ndo sera yenyewe, hapa nchi 2nababaishwa sana na Tanesco kwa kuwa hawana washindani. Chukulia mfano kipindi kile TTCL ndo ilikuwa kampun pekee ya mawasiliano! Mambo yalikuwa ovyo na hayavutii atleast wakaja mobitel, celtel, vodacom, zantel, sasatel n.k hakuna asiyejua jinsi Tanzania
sasa mawasiliano ni bwelele, siku watu wa South Africa wanatu
beep tuliopo Tz. I mean kwamba tuache kufikilia
habari za EL au Membe bali tujikite kuuimarisha
upinzani usimame na uchukue awamu ndipo
tuone tunaenda wapi? CCM ni wez, mafisadi, wasiojar wananchi na
kila ubaya wao
wanaona poa tu kwa kuwa hawajaona
wenzao wanaongozaje
the same nation. Nani kakuroga wewe Mtanzania mwenzangu
mpaka hutaki kuelewa maana ya vyama vya
upinzani? Please
nakuomba tafakari na
amua kuikomaza nchi yetu kisiasa. I mean it, naumia sana hasa na
utawala wa JK. Hivi unaogopa nini kuipa mwelekeo CHADEMA?
CUF? PONA? NCCR? PPT
n.k.
Binafsi nataka
CHADEMA WAJARIBU
KUONGOZA NDIPO IJE ITOKEE CCM Tena wakijipanga na kuwakosoa CHADEMA.
Ref. North AMERICA republican and
democratic mambo si yale! Nani kakuroga
wewe huitakii mema Tanzania?
NAKUOMBA WEZESHA CHADEMA 2015, SHAWISHI WENZIO POPOTE UWAPO 2WAPE LIKIZO CCM ANGALAU AKILI ZAO ZIPUMZIKE!
...mkuu uko sawa lakin natofautiana na wewe hapo ulipouliza...(nanukuu) "hivi unaogopa nini kuipa mwelekeo CHADEMA?,CUF?,PONA?,NCCR?,PPT?, n.k(mwisho wa kunukuu)...tofauti yangu na haya mawazo yako mazuri iko kwenye hivyo vyama viwili CUF na NCCR,hao PPT na PONA siwajui vizuri.CUF tumewaona bungeni walivyo shiriki ktk kupitisha mswaada wa sheria ya katiba mbovu na kandanizi,NCCR kina vingozi(Mbatia) ambao ni vibaraka wa CCM.Hivi vyama kuvipa mwelekeo ni sawa na kuwasaliti Watanganyika.CHADEMA ndo chama makini,kimeonyesha hivyo,kimesimama upande wa wanyoge,kimeendelea kuipigania demokrasia ya kweli,kwa-ufupi kimebeba matumaini ya Watanganyika...Achana na hayo matawi(CUF&NCCR) ya CCM,hivyo vyama Watanganyika wanatakiwa waviogope sana tena kama ukoma...CHADEAMA NDIO CHAMA AMBACHO WATANGANYIKA INATUPASA TUONDOE UOGA TUKIPE MWELEKEO...
 
Jamani, wamama wasisahaulike, ndiyo wengi, wanakubali kupokea kanga, tshirt, kofia na hata bila sabuni ya kuzifua. Wanauza uhuru wa familia, wanafunzi, wafanyakazi na hata uhuru wao wenyewe kwa miaka 10 (ukizingatia kwamba raisi hachukui kipindi kimoja). wanajisahau hata wao wenyewe kwamba ndiyo wahanga wakubwa. Ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii nzima. Nashauri mkakati wa pekee ulengwe kwa wamama!!!. Tuanze sasa muda bado tunao!
 
Mimi binafsi naunga mkono hoja. CHADEMA wanatakiwa sasa ni wakati wa kujipanga ipasavyo. Na hatua muhimu za kujipanga ni

  1. Kuendelea kuibua maovu ndani ya chama tawala na Serikali yake bila woga.
  2. Kuendelea kutoa elimu ya uraia hasa vijijini na mijini kwa kasi zaidi
  3. Kuhakikisha kuwa wanahamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura pindi muda utakapowadia
  4. Kuhakikisha inaepuka migogoro ndani ya chama na ikiwezekana kuchukua maamuzi magumu kwa mustakabali wa chama
  5. Wakati wa kampeni wahakikishe kuwa wanasimamisha wagombea zaidi na wanaokubalika na kamwe wasichukue mamluki wanaotoka CCM.
  6. Mwisho siku ya KUPIGA kura wawe wamewahamasisha wananchi kujitokeza kupiga kura na kulinda kura zao
 
Back
Top Bottom