Wewe utatoa kiasi gani?

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,521
Reaction score
14,000

Kuna jamaa yangu anauza stroller,ila hajui bei yake maana aliletewa zawadi toka nje ya nchi.
Kama unahitaji toa ofa yako.

Stroller ipo Arusha.

Mwenye bei kubwa ndio atakayechukua mzigo.

Unaweza niPM ofa yako au weka hapa jukwaani.
 
Kwa bei za dukani ni elfu 40 hadi 120000 inategemea na duka na imetengenezewa nchi gani,ukubwa na ubora pia
 
Nakushauri nenda dukani,maana kama stroller mpya inauzwa 40,000 na wewe una 30,000 kwani nini usiongeze kidogo ukapata kitu kipya kabisa?

Nina elfu 30 kamili inalipa?kesho niifate
 
Poa lugha kwa mteja haiwi hivyo umesema tutoe offer zetu tunatoa unatuambia twende dukani kama dukani vinauzwa kwann unavitangaza humu,specifics husemi unategemea watu tutoe ofa zipi kama si kutoa ofa za bei ya mtumbani
 
Maana sijawahi kuona stroller mpya inayouzwa 40,000 kama ulivyosema ndio maana nikasema ni vema uende huko.Any way pole kama nimetumia lugha ya kuudhi.

Poa lugha kwa mteja haiwi hivyo umesema tutoe offer zetu tunatoa unatuambia twende dukani kama dukani vinauzwa kwann unavitangaza humu,specifics husemi unategemea watu tutoe ofa zipi kama si kutoa ofa za bei ya mtumbani
 
Hapa dalali anajua bei ila amekuja kutega akili za watu.
 
Utapata mnunuzi tu mkuu, subira inavuta kheri
 
Sina presha! Wanaoujua hicho kitu watakuja ila wale wenzangu na mimi wanaojua mbeleko pekee hawawezi kuchezea pesa yake kununua kitu kama hicho.

Utapata mnunuzi tu mkuu, subira inavuta kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…