JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Majambazi walivamia kanisa wakasema tunawaua waumini wote na tunafuata alfaphet, wakamuuliza
mchungaji anaitwa nani? Akasema Zosefu Zohana
mzee wa kanisa , naitwa Zobadia Zamwel,
mwalim wa kwaya, naitwa Zaulo Zadamu
shemasi, naitwa Zesta Zakobo
wewe ungejiitaje?
mimi ningejiita Zdonn Zmimi
mchungaji anaitwa nani? Akasema Zosefu Zohana
mzee wa kanisa , naitwa Zobadia Zamwel,
mwalim wa kwaya, naitwa Zaulo Zadamu
shemasi, naitwa Zesta Zakobo
wewe ungejiitaje?
mimi ningejiita Zdonn Zmimi