Si kaandika "rasmi, alikuwa binti mrembo wa kisukuma, anavaa nguo za kujistiri sana, Yani Kwa kifupi alionekana ni binti ambaye kalelewa katika maadili ya kikristo hata katika uongeaji wake, Kila jumapili anakuambia anaenda kanisani, ijumaa kwenye maombi”
Hizi zote sifa zangu ujuee😅