Wewe ungechagua Lipi?

Dr Louis

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
443
Reaction score
426
Maisha haya jamani, hebu imagine una mpenzi wako unaempenda kwa dhati halafu anatokea mtu from nowhere anakwambia anahitaji kuwa na mpenzi wako wajege kuishi pamoja lakini anakuomba akupe milioni 1 muachane kama hautaki basi tegemea siku za hivi karibuni atakuacha tu.

Utachagua lipi kati ya hayo
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Kama hauna mpango nae wa baadae si unakula m1[emoji849] unamuacha mtt wa watu[emoji38]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…