Wewe unaonaje hii?

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,780
Wadau habari za mapumziko ya wkend....
huwa kuna kitu najiuliza sipati majibu,huwa napata majibu mepesi tuuu ambayo huwa nayasahau kwasababu ya wepesi wake....
Hivi Kwanini mwanaume anapokutana na mwanamke siku za mwanzoni wanavaa Condomu?
1.Ina maana hawaaminiani?
kama HAWAAMINIANI sawa, kwanini wasiende kupima Kwanza?
Wanakuja kwenda kupima baada ya Ku DO?
2.kama anajua/anahisi mwenzake anatatizo kwanini anafanya nae?
Jibu labda amezidiwa/kashikwa na ashki sana,sawa
Je ukiambiwa na kuthibitisha mtu anaekutongoza ana ugonjwa,kwa nini Condomu haikumbukwi tena Mtu anasepa?
 
condom ni kuzuia kupata ujauzito pia. Kujikinga na magonjwa kama gono na kisonono pia.
sio ukimwi tu.
 
Unajua sisi watanzania tunaogopa ukimwi but at the sametime ni wazito kwenda kupima pale 2napoanza mahusiano mapya ya kimapenzi. Mda mwingi wanakaa kufikiria kukutana kimwili then baadae ndo wanapata wazo la kwenda kupima tena na wengine mpk wakiskia ndoa ndo wanawaza kwenda kupima au mpk wapate ujauzito ndo wanaenda kupima. Yaan tumekuwa wazito kidogo kwenye hilo la kupima kwanza kabla ya kuanza mahusiano. Wachache sana ndo wanafwata utaratibu.
 
Kila mtu na maisha yake ndio maana hata kupima ni hiari ya mtu.
 
condom ni kuzuia kupata ujauzito pia. Kujikinga na magonjwa kama gono na kisonono pia.
sio ukimwi tu.
kama unataka kujikinga na magonjwa kama kisosono,gono,kwanini mtu asiende kupima kwanza?ili ajikinge vizuri?au atapima baada ya ku du na condomu? ishu yangu ni kwanini tunapima baada ya kufanya tendo?kwani kujikinga kunaanzia wapi?si kwenye kupima then ndo mpira?au kupima ni ya mwisho?
Huoni kwamba ukipima kwanza uta enjoy sana tendo lenyewe?
 
Kwa mara ya kwanza akili huwa imekufa kabisa, haifanyi kazi sawasawa. Baada ya tendo ndo akili huanza kufanya kazi thats why NINGELIJUA HUJA BAADAYE NA MAJUTO NI BABU.
 

Ww imesha kutokea mara ngapi hali kama hiyo?
 
Ww imesha kutokea mara ngapi hali kama hiyo?
imeshanitokea mara 3 kila nikimwambia tukapime ananiambia tutapanga,then mawasiliano hamna mbio simuoni tena,
au ndo staili,ku do na Condom kwanza then kupima baadae?
 

Kwani kama haukupima hauwezi kuenjoy?
Kwa mfano mwanamke akizaa anashauriwa atumie condom mwanzoni
ili hasipate infection, ingawa wote mke na mume hawana ugonjwa.

Hata ukapima unashauriwa uendele kutumia condom miezi kazaa
maana pengine umeambukishwa ila ugonjwa haujaenea mwilini hivo haiwezi kuonesha ktk vipimo.

How old are you?
yaonesha haujui maana yake, kuna viumbe wengine wanapenda kubadirisha wa kufanya nae mapenzi kila siku. Kwaiyo inabidi akapime kila siku sasa, vichekesho
 
Hilo nalo nenoooo!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
imeshanitokea mara 3 kila nikimwambia tukapime ananiambia tutapanga,then mawasiliano hamna mbio simuoni tena,
au ndo staili,ku do na Condom kwanza then kupima baadae?

Pole sana mkubwa! kpondom ndo style sasa hivi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…