Mamba ana tabia ya kushambulia akiwa na njaa, hao wanatumia trick ya kuwashibisha kwanza kabla ya kucheza nao.
Mamba hawana urafiki, wanyama wenye asili ya urafiki/undugu ndio hutumika mara nyingi kwenye sarakasi mf; mbwa, nyani, ngedere, tembo, simba, dolphin, chui, paka n.k Nyoka anatumika lakini wameua wengi kutokana na wao pia kutokuwa na asili ya urafiki/undugu.