Wewe unamfikiriaje mwanamke kama huyu?

Wewe unamfikiriaje mwanamke kama huyu?

B.4really

Senior Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
199
Reaction score
89
Habari wanajf..
Unapomwona mwanamke anavuta sigara, ww unamfikiria fikiriaje eti....??
 
Naona kawaida. Mbona hii kitu iko tangu zamani. Hujawaona wabibi kibao wanavuta sigara au kubwia ugoro?
 
Ni zaidi ya gaidi,niwakorofo sana,hawajali usafi,hawana thamani kwenye jamii
 
Back
Top Bottom