Tanzanian lady
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 261
- 322
Ungeweka wazi mrembo ili tukushauri acha kuficha.Habari za jumapili wapedwa
Mungu ni mzuri jumapili iko vyema.
Nimekaa hapa ghafla nawaza
Katika maisha kuna watu/ mazingira yanatufanya tuwe mbali kihisia ( mfano, wazazi wanakukataza kuoa/kuolewa) na mtu Fulani ambaye unakuta kashakukaa moyoni na kumtoa inakuwa vigumu
Kuna haja ya kuwasiliana na mtu ambaye bado mnapendana lakini there is no future hata ya kuonana uso Kwa uso. Ukiangalia mlishakuwa na good time pamoja.
Ukijaribu kumuacha uanze upya mnajikuta mmerudisha mawasiliano vizuri tu lakini yasiyo Na msingi wowote maana teyari kuna vizuizi.
Karibuni Kwa mawazo yenu!
Yours
Tanzanian Lady
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda the guy anaishi Nchi nyingine Na wazazi hawataki hayo mahusiano so inabidi kuyasitisha lakini ukicheki we still love each other.na ukicheki inabidi kuwasikiliza wazazi. Je kuna sababu ya kuendelea kuwasiliana with no reason an future?Hapo kwenye kuonana hebu fafanua mkuu
Acha kabisa maisha Yana mitihan mingiHasa ukute wazazi walokole aisee usiombe,
Na kuna ile wazazi hawataki kkuona kwenye mahusiano eti adi umalize shule....unajikuta umri umefika harafu upo tu, ona watakavyo kupressurize,
Waafrika tunashida sana....ila kuanzia sisi vizaz vyetu vitakuwa tofauti.
Wazazi wanachangia wengi kuharibu future zao. Kuna dada mmoja aliopelekaga mchumba kwao kumtambulisha the way walivyompokea yule kaka haikumpendeza binti . Maana walianza kumdharau mbona yuko hivi mara vile kavaa suti kama mchungaji hatumtaku yupo yupo tuu. Yani yule dada aliumia mpk leo hajawahi kuzungumzia mwanaume pale kwao hajaolewa na sasa hivi anaelekea 40 something hana mtt na wala si mama wala ndg zake wanauliza maana wanakumbuka walivyomfukuzia mchumba wake.
Napenda hii kituMsimamo ndo dawa ya hiyo kitu, wengine huwa tukisema YES bac itabaki kuwa YES hata viwekwe vikwazo gani na kama ni NO bac haitabadilika.
Namna pekee ni kujifunza tenaa maana na YES na NO na uwezo wakusimania hayo maneno mawili.
Over....!!!
Mara nyingi ndio vikwazo Na kutuponzaWazazi wanachangia wengi kuharibu future zao. Kuna dada mmoja aliopelekaga mchumba kwao kumtambulisha the way walivyompokea yule kaka haikumpendeza binti . Maana walianza kumdharau mbona yuko hivi mara vile kavaa suti kama mchungaji hatumtaku yupo yupo tuu. Yani yule dada aliumia mpk leo hajawahi kuzungumzia mwanaume pale kwao hajaolewa na sasa hivi anaelekea 40 something hana mtt na wala si mama wala ndg zake wanauliza maana wanakumbuka walivyomfukuzia mchumba wake.
Inategemea ukiwa unalia wewe kuna wenzako wanacheka Na kufurahiHivi hali ilivyo ngumu hv unaweza kaa ukawaza mahaba full time.. Bila pepo la pesa kukupitia ukagundua account yako ukichomeka kadi kwenye ATM hata haishtuki
Sent using Jamii Forums mobile app