kitororondo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 597
- 717
- Thread starter
-
- #61
Kwanini usitafute jimama ukalioa mkuu? Fanya kitu roho inapenda, utaoa kasichana kadogo ukasumbue bure maana hutaachana na mijimama.
Life style ya kuishi na hao wamama aged ni tofauti na hawa dada zetu, wamama watu wazima wengi wao wanajua wanachotaka means hawana tabu kwenye kuwahandle so ilikuwa rahisi kwako tofauti na hawa umiza vichwa.
handling ya miji sugar mamy na vibinti ni tofauti kidogo inabidi utafute twisheni ndipo ufuzu
Sent using Jamii Forums mobile app
Life style ya kuishi na hao wamama aged ni tofauti na hawa dada zetu, wamama watu wazima wengi wao wanajua wanachotaka means hawana tabu kwenye kuwahandle so ilikuwa rahisi kwako tofauti na hawa umiza vichwa.
Haya kazana kupata slay queen ila usije hapa kulia. Usiseme hakuna aliyekutahadharishaNafikiri kufanya hivyo tatizo nguvu ya uma itanikosesha amani kwa maneno na vidole vyao kwangu na kwa mke
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaishi kwaajili ya watu utapata shida sana. Kuzaa utazaa nje huko..kikubwa uwe na mke mnayeelewana
Jimama lenye watoto na ambae yeye hana uwezo wa kukupatia watoto hawezi kukukataza ukajipatia mtoto kwingine. Atakuwa na matatizo ya akiliWee unanitakia kifo wanawivu hao kwanza hayo maneno unayoahidiwa kufanyiwa siku akigundua unamchepuko mbona balaa .... na huwezi kuzaa nje ya ndoa bila mchepuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Jimama lenye watoto na ambae yeye hana uwezo wa kukupatia watoto hawezi kukukataza ukajipatia mtoto kwingine. Atakuwa na matatizo ya akili
Au cha kufanya tafuta kwanza watoto kwa wanawake ambao hawataki ndoa (wapo wengi sana), then ukaoe jimama lako ukiwa tayari una mtoto mmoja au wawiliNgoja nikajaribu kuliweka wazo hili mezani majibu ya kitoka ntareta mrejesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Au cha kufanya tafuta kwanza watoto kwa wanawake ambao hawataki ndoa (wapo wengi sana), then ukaoe jimama lako ukiwa tayari una mtoto mmoja au wawili
Mambo mazuri mengi ni gharama mkuu
Vipi kuhusu kuoa, unaweza oa jimama mwenye watoto wake 5 na ashaacha kuzaa
Hujarogwa,umeizowesha akili yako mambo yanayokuzidi umri Sasa upo kati it najiona mtoto na unataka uwe na watoto lakini huwezi utoto.Mnh! Hapana kwa kweli sitaki iwe ivyo na ndio maana nataka nitoke nilipokwama
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!! Wapi kunamtaalamu au kama unajua kilipo kilinge cha Mshana nisaidie kunipereka
Sent using Jamii Forums mobile app