Kipindi hiki nilikuwa nimetoka kugraduate na nilikuwa na kazi ila kwenye sekta isiyo rasmi sema nilikuwa najitahidi kupanua mawazo, haihusiani na hiki ninachokipitia kwa sasa
mtoto unaonekana bado mbichi kabisa wewe!!!Sana, tumeshazeeka jirani
Hii sitaisahau mkuu!!!Kulikuwa na interview idara ya uhamiaji
Wapi mkuu nimeshakuwa kikongwemtoto unaonekana bado mbichi kabisa wewe!!!
Nilikuwepo mkuu;;; sidhani kama utakuja tokea usahili kama ule tena
Nilikuwepo mkuu;;; sidhani kama utakuja tokea usahili kama ule tena
Hahaha wapi mkuu, tena i guess we ni wale masista duuu, ambao hawapendi zeeshwa mapema, sema tumekula chumvi nyingi mtaani toka tulipotoka kwenye Elimu madesa.
Kwa hali ya sasa hivi mkuu ata Mimi natabili ilo.
Makubwa haya, mimi nimesema wazi kuwa nimekula chumvi ila we unalazimisha bado mbichi. Nimegeuka mimi tena ndio sista duu nisiyependa kuzeeshwa mkuu uko sawa kweli au una usingizi?Hahaha wapi mkuu, tena i guess we ni wale masista duuu, ambao hawapendi zeeshwa mapema, sema tumekula chumvi nyingi mtaani toka tulipotoka kwenye Elimu madesa.
Kuna mtu kanichanganya usiku huu, ndomana mpaka najikuta nachanganya mafaili,Makubwa haya, mimi nimesema wazi kuwa nimekula chumvi ila we unalazimisha bado mbichi. Nimegeuka mimi tena ndio sista duu nisiyependa kuzeeshwa mkuu uko sawa kweli au una usingizi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi pumzika mkuu maana naona unataka kunichanganya na mimiKuna mtu kanichanganya usiku huu, ndomana mpaka najikuta nachanganya mafaili,
Lala bibi
Aya Mkuu" bado unalipa sana lkn" usijizeeshe tafadhari, uwe na usiku mzuri uliojaa amani.
Siku zote huwa unanikumbusha wewe kulala mtoto una hila weweLala bibi