Announcement to All First Year and Continuing StudentsIMPORTANT NOTICE TO BOTH FIRST YEAR AND CONTINUING STUDENTSAll students are required to note that:
2012/2013 ACCADEMIC YEAR
1. All students are MUST register with the NATIONAL HEALTH INSURANCE FUND (NHIF)
2. University of Dodoma Students Organisation (UDOSO) fee is 5,000/= per student per year.
3. UDOSO fee MUST be paid by ALL STUDENTS in CRDB Bank:
Account number: - 01J2083321200
Account name: - UDOSO FEDERATION
Please DO NOT pay UDOSO fee in any other Account (Only UDOSO fee is payable in this account).
4. In order to avoid unnecessary queue (long lines in the bank) you are all urged to pay all the required fees before coming to Dodoma.
5. You will be required to show proof of payments (Bank pay-in-slip) during registration.
6. Make sure you write your names on the Bank pay-in-slip.
Mkuu hiyo NHIF ndo tunajisajili je?? na ile hela ya medical capitation ndo hatulipi au??
nashukuru kwa kuwasilisha.
usijichanganye kulipa iyo ela asee DIRECT COST MTAPEWA we ni mjanja mbona unataka kuniangusha tena jembee
usiogope kijana!! Kuna information mbili kuna moja kua tulipe Medical capitation 100k na hii tena, wacha tusubiri joining instructions tuone inakuaje
poa watakuumiza hawa ukiingia kichwa kichwa ye ninani hapo udom hadi atoe taarifa hii simuhukumu ila sina imani nae na MR kipindi hiki unatakiwa uwe mwangalifu sana na hawa matapeli
katoa katika website ya UDOM hata mimi nimeona hiyo taarifa
hapo sawa na acount no ndio izo au
mkuu.oya foleni sio issue msilipe pesa kwenye account yoyote kama haujaithibitisha hiyo account no. Kwenye joining instruction mtalipa kwenye account za watu bila kujua sorry mi nawataadhalisha tu ila sina lengo baya kwa yeyote yule. NAWAKILISHA WAKUU
poa watakuumiza hawa ukiingia kichwa kichwa ye ninani hapo udom hadi atoe taarifa hii simuhukumu ila sina imani nae na MR kipindi hiki unatakiwa uwe mwangalifu sana na hawa matapeli
makole naona huyu samrich anajichanganya 2....... ww ukipata maiformation 2julishe mkuu.....tembelea website ya hicho chuo uziohakiki
oya kuna jamaa zangu wamepangwa udom wananiuliza nashindwa wajib..kwan first year mnareport lin??? msaada mkaka!!Jamaa kafanya copy & paste, ila ntatimba mjengoni kwa taarifa zaidi wanieleze hiyo medical capitation na hii NHIF inakuaje