Wewe ni siri

Kama unayaishi hayo wewe ni damu yangu, ila kama ni mwandishi Tu, ubarikiwe Kwa kutukumbusha na kutukumbushia utunzaji wa siri
 
Wewe sio siri, matumizi mabovu ya lugha.

Wewe ni nafsi, iliyobeba utu wa mnyama
 
Matajiri wanaficha utajiri kwa kuishi kimasikini,masikini anaficha umasimini kwa kuishi kitajiri
Mwisho wa siku stress 😬
 
Safi sana umeandika katika lugja ya mtaani kabisa na imekua tamu
Na mwenye masikio asikie hii siri
 
Kweli kabisa mwamba yaani SIRI ndio Kinga na mwangaza kuyafikia mafanukio
S
Mwamba umenisanua mipango ya mafanikio yanapaswa kuwa SIRI
 
Aiseee nzuri sana hii
 
Nimependa no.19 Kwamba uamke mapema ili uende wapi😂😂😂
 
Wewe ni ngedere
Philosophical hujanidhihaki, umeeleza sifa za wewe, hata Mimi ni mjinga, Mimi ni mgonjwa, Mimi ni mpumbavu,
Mimi hana akili, Mimi ni taahira

Wewe ni nafsi, inayomtambulisha mnyama nyani...
Mimi, wewe, yeye, sisi, ninyi, wao

Ahsante, mnyama nyani, msalimie wewe, mwambie wewe ni mbishi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…