Wewe ni Graduate? Pitia hapa

Sure !! But atleast umeonesha umeonesha upambanaji. Tofauti na Graduate anayesubiria Ajira Portal. Naamini kuna wadau kupitia huu uzi wanaweza kutoa nafasi mbalimbali au wakakushika mkono. Naamini baada yq miaka kadhaa tutakuja kutoa ushuhuda
Mwaka huu mwezi wa saba ndo nahitimu kaka! Naamini ntafanya jambo kwenye IT ntapata kuendesha maisha
 
Mkuu utafika mbali sana .kama bado hauja graduate na umeshaanza mapambano kuja wana wame graduate 2013 mpka leo wametulia wanasikilizia Serikali.
Big up sana.
 
Mkuu utafika mbali sana .kama bado hauja graduate na umeshaanza mapambano kuja wana wame graduate 2013 mpka leo wametulia wanasikilizia Serikali.
Big up sana.
Umaskini umetufanya tukawa wanaharakati wa kutafuta dollar tukiwa bado wadogo
 
Chief itabidi uandike UZI mzuri wa kuwa motivate vijana . Wape mbinu mbalimbali na ujuzi wa namna ya kutambua potential waliyonayo. Utawakomboa wengi sana . [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Chief itabidi uandike UZI mzuri wa kuwa motivate vijana . Wape mbinu mbalimbali na ujuzi wa namna ya kutambua potential waliyonayo. Utawakomboa wengi sana . [emoji120][emoji120][emoji120]
Sema hapo kwenye kuandika ndio mimi naonaga kipengelea.Nimezoea hiz za kudandia uzi juu kwa juu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…