mr.kayembele
Senior Member
- Nov 9, 2012
- 118
- 58
Graduates kwenye kujitolea pia wagum sana.
i remember when i started project flan, i requested vijana wa computer science wawil wani join tuwe pamoja.Wakasema utatulipa nini?
Kaka mtu unajitolea silipwi chochote ntaishije 🤔Kodi, maji, chakula, nauli, umeme talipaje? vingn naweza nkajinyimaGraduates kwenye kujitolea pia wagum sana.
i remember when i started project flan, i requested vijana wa computer science wawil wani join tuwe pamoja.Wakasema utatulipa nini?
Thread closed!Nachowashauri graduates msichague kazi ya kukuingizia kipato halali, ukipata boda boda, bajaji wewe nenda nayo tu usisubiri mpaka upate kazi za kisomi, mtaani ni kugumu mno !
Nkisomaga mada kama hizi hua naishia kucheka tu, hili taifa kua graduate ni kama kituko flan ambacho hakijielewi unamwambia chochote tu!
Mtaani mambo magumu sana lkn wazee wakiwa majukwaani au humu mtandaoni wanaongea as if wanatupenda sana na kututakia mema deep down hawana msaada wowote, lkn kama ni kijana wako au ndugu Yako humpi huu ushauri unapiga simu sehemu kijana ajibanze apate chochote ila wengn unawaambia wafungue biashara [emoji16][emoji16][emoji16]usikute mtoa mada ana miaka 47 hajawahi fanya biashara yeyote

True nakumbuka ni mwaka jana tu hapo mwanzoni.Walipoteza nafasi kubwa sana. Wangepata fursa ya kujifunza kazi na kuongeza ujuzi! Na hii mentality ipo kwa sisi waswahili
ahahahaha..watakupiga mawe wewe ngoja wakusikieNachowashauri graduates msichague kazi ya kukuingizia kipato halali, ukipata boda boda, bajaji wewe nenda nayo tu usisubiri mpaka upate kazi za kisomi, mtaani ni kugumu mno !
Kaka mtu unajitolea silipwi chochote ntaishije [emoji848]Kodi, maji, chakula, nauli, umeme talipaje? vingn naweza nkajinyima
True nakumbuka ni mwaka jana tu hapo mwanzoni.
Mwaka huu pia nikakutana na mwingine huyu ni wakike wa mwanzo walikua wakiume and i offered her the same.Akauliza nitapata nini.
I told her utajifunza hizo mambo za darasan namna zilivyo huku field plus how to be able not just to create a product but also how to penetrate it kwenye market . unaweza ukawa unasoma na extra time unakuja ofisin na pia kuingia sokoni plus ku provide support kwa wateja waliopo so far
Akatoka nduki..nikaja hisi huenda pia vijana wanasoma vitu ambavyo hawavipendi ila ni basi tu ishu ya allocation za vyuo by tcu hawana namna plus kupata mikopo.
Naonaga tuu status zake anafanya package za maandazi unauza kisasa kidogo nikajua huyu IT anasoma basi tuu
Nlifanya field ya kwanza kwenye taasisi Moja baada ya ule mda kwisha nliendelea na majukumu, mkuu wa ile taasisi akanambia utapata chochote siku unarudi chuo, mwisho wa siku hakunipa chochote akanambia ukitaka malipo mwaka wa pili urudi hapa na wenzako wawili au watatu!True nakumbuka ni mwaka jana tu hapo mwanzoni.
Mwaka huu pia nikakutana na mwingine huyu ni wakike wa mwanzo walikua wakiume and i offered her the same.Akauliza nitapata nini.
I told her utajifunza hizo mambo za darasan namna zilivyo huku field plus how to be able not just to create a product but also how to penetrate it kwenye market . unaweza ukawa unasoma na extra time unakuja ofisin na pia kuingia sokoni plus ku provide support kwa wateja waliopo so far
Akatoka nduki..nikaja hisi huenda pia vijana wanasoma vitu ambavyo hawavipendi ila ni basi tu ishu ya allocation za vyuo by tcu hawana namna plus kupata mikopo.
Naonaga tuu status zake anafanya package za maandazi unauza kisasa kidogo nikajua huyu IT anasoma basi tuu
UKo sahihi.Lakin ukiendelea kukaa home bado unakua hutatui changamoto hizo.Kaka mtu unajitolea silipwi chochote ntaishije 🤔Kodi, maji, chakula, nauli, umeme talipaje? vingn naweza nkajinyima
Binafsi nimesoma IT
Halmashuri huwa naona sii mahala sahihi sana kwa fani hizi za It 🤣Nlifanya field ya kwanza kwenye taasisi Moja baada ya ule mda kwisha nliendelea na majukumu, mkuu wa ile taasisi akanambia utapata chochote siku unarudi chuo, mwisho wa siku hakunipa chochote akanambia ukitaka malipo mwaka wa pili urudi hapa na wenzako wawili au watatu!
Pia alinambia niandike barua za malipo nikatii maagizo lkn wapi .....
Mwaka wa pili nlienda halmashaur X majukumu nliyokua napewa mambo hayakua ya IT kbs hata kidogo yaan kila siku ni kupanga na kupangua mafaili nkafanya maarifa nkapata muhuri na assessment ikafanyika nkasepa pale nkaenda taasis Moja kujitolea huko aiseee nusu nife njaa,🤣 ndo nkaona bora nkajitose mtaani