Wewe ni CCM eeeeee? Haki sikuachi Nakukula

Itafikia mahali hata kwenye utoaji wa huduma Watanzania tutaanza kuulizana "ww ni chama gani?"
na hapo ukibainika ww kuwa ni jembe na nyundo,unaweza usihudumiwe au ukahudumiwa vbaya na hovyo hovyo sana!
 
Hiyo mbona Zanzibar imefanyika kitambo. Walau kwa sasa kidogo imepungua..!
 
Itafikia mahali hata kwenye utoaji wa huduma Watanzania tutaanza kuulizana "ww ni chama gani?"
na hapo ukibainika ww kuwa ni jembe na nyundo,unaweza usihudumiwe au ukahudumiwa vbaya na hovyo hovyo sana!
The opposite is true.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…