mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 562
Umepambana kwa shida kuutafta utajili,wazazi wamejinyima ili ufanikiwe,,mwisho wa siku unakua tajili unaoa then mkeo ambaye hakuvuja ata jasho kwenye utajili wako anakuua anachukua mali kilaiiiini...
Hebu fikiria kama hapo ulipo na hizo mali zako mkeo kashakupa sumu na inakuua taratibu je?
Ila i smell something fishy here...kuna watu mmeshameza ndoano tayari
Anyway poleni bhana
Hebu fikiria kama hapo ulipo na hizo mali zako mkeo kashakupa sumu na inakuua taratibu je?
Ila i smell something fishy here...kuna watu mmeshameza ndoano tayari
Anyway poleni bhana