Wewe Ndugulile huwa huna aibu?

Wewe Ndugulile huwa huna aibu?

Sio kila aliesoma had chuo kikuu ana akili, sio kila aliechaguliwa au kuteuliwa kuwa kiongozi bas ana akili timamu na sio kila anaeitwa Dr bas ukajua kichwa ana akili wengne Mungu alitujalia uwezo wa kukalili ila akatunyima akili za kupambanunua mambo kwa weledi na kufanya maamuzi yaliyo sahih

NB: Sijatukana.
 
Hafai, Walikosea sana kumpa Wizara wangemwacha mbunge inatosha
 
Back
Top Bottom