Wewe Ndugulile huwa huna aibu?

Wewe Ndugulile huwa huna aibu?

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Posts
2,710
Reaction score
3,391
Ingelikuwa Mimi wewe ningeachia ngazi ,mama alitakiwa akupe MTU akusaidie kazi hivi najiuliza sana hukuona makubaliano uliyoingia na hayo makampuni ya simu kuwa ni tatizo...hii ni aibu juu yako kushindwa kutambua nn ni kitu bora na affordable kwa wananchi walio wengi...kwakuwa labda ni wa maziwa na asali za kusaza kwahivyo ukaona kila mmoja atamudu ulikosea sana yaani Mara kumi mngeacha uleule utopolo wa zamani kuliko huu mpya wa bei juu mno...halafu hakuna aliye juu ya serikali na serikali ndio top....inakuwaje mtoe tamko la kutangua vifurushi bado makampuni yamedindisha?hawajatangua kama wewe umeshindwa kutupambania kaa pembeni... Kama ni mikataba wewe ndio ulitakiwa upime je walaji watamudu? You must go...
 
Alipotoa agizo la kurudisha vifurushi vya zamani, na TCRA wakasema zinahitajika siku 4 kufanya programming, nikajua ni hadithi tu;
maana makampuni hayaruhusiwi kukaa chini na kupanga bei, hiyo ni kinyume na kanuni za FCC (Fair competition commitee), unless kama kuna makubaliano maalum kati ya watoa huduma na mamlaka husika ya udhibiti (TCRA) , sasa ukishasaini mkataba ni umesaini, hakuna kurudi nyuma, hapo unaweza utakakuta keshaingiziwa mgao wake wa bilioni 10 uswiss zamani.., hivyo akatia saini kama mlevi mwendawazimu huku akifumbia macho yaliyomo, na hapa wanatuzuga tu, maana ameshaingia mkataba wa kutuuza waTz kama Chief Mangungo, ashitakiwe tu.
 
Halotel wameachia baadhi ya vifurushi, na kasi ya internet ni ndogo. Hiyo mitandao mingine wanajifanya makonki, hasa tigo wanamtest mama, nimetoka kurichukia limtandao la tigo 😡😡😡😡😡😡bac tu.
 
Alipotoa agizo la kurudisha vifurushi vya zamani, na TCRA wakasema zinahitajika siku 4 kufanya programming, nikajua ni hadithi tu;
maana makampuni hayaruhusiwi kukaa chini na kupanga bei, hiyo ni kinyume na kanuni za FCC (Fair competition commitee), unless kama kuna makubaliano maalum kati ya watoa huduma na mamlaka husika ya udhibiti (TCRA) , sasa ukishasaini mkataba ni umesaini, hakuna kurudi nyuma, hapo unaweza utakakuta keshaingiziwa mgao wake wa bilioni 10 uswiss zamani.., hivyo akatia saini kama mlevi mwendawazimu huku akifumbia macho yaliyomo, na hapa wanatuzuga tu, maana ameshaingia mkataba wa kutuuza waTz kama Chief Mangungo, ashitakiwe tu.
Ndio maana nikamwambia bora ang'atuke tu ...kishapata chake
 
Nikumuombea ashindwe vibaya uchaguzi 2025 hapati teena duwa zetu km 2020 shenzi sana huyu mtu.
 
Ndio wamekaza mkuu 1500unapata mb 500 kuna usalama kwl na TCRA na waziri wapo kwl?halafu serikali inaongea wao wamekaa hawasimami heshima gani hiyo? Sana jeuri sana
Voda yamekuwa mapumbavu sana..

Sasa sijajua nilichotumia cha zaidi ni nini..

Naona halotell wamejirekebisha.

Ona utopolo walionitumia..ilihali nimejiunga mchana huu
20210410_183429.jpg
 
Daah hii ishu ya vifurushi kelele zimepungua. Sijui ndio watu wamekubali hali halisi. Wizara ipo kimya TCRA nao kimya sasa sijui tunamlilia nani.
 
Voda yamekuwa mapumbavu sana..

Sasa sijajua nilichotumia cha zaidi ni nini..

Naona halotell wamejirekebisha.

Ona utopolo walionitumia..ilihali nimejiunga mchana huuView attachment 1748600

Mkuu, usidanganyike na halotel,,, kwenye vifurushi vya kawaida wamepunguza MB,,,Ukija kwenye line mpya za WTS hovyoo internet iko very slow. Wanatuchezea hawa
 
Alipotoa agizo la kurudisha vifurushi vya zamani, na TCRA wakasema zinahitajika siku 4 kufanya programming, nikajua ni hadithi tu;
maana makampuni hayaruhusiwi kukaa chini na kupanga bei, hiyo ni kinyume na kanuni za FCC (Fair competition commitee), unless kama kuna makubaliano maalum kati ya watoa huduma na mamlaka husika ya udhibiti (TCRA) , sasa ukishasaini mkataba ni umesaini, hakuna kurudi nyuma, hapo unaweza utakakuta keshaingiziwa mgao wake wa bilioni 10 uswiss zamani.., hivyo akatia saini kama mlevi mwendawazimu huku akifumbia macho yaliyomo, na hapa wanatuzuga tu, maana ameshaingia mkataba wa kutuuza waTz kama Chief Mangungo, ashitakiwe tu.
Km nakubali alafu nakataa
 
Back
Top Bottom