Wewe na mimi ndani ya tanzania

Wewe na mimi ndani ya tanzania

Joined
Apr 20, 2012
Posts
24
Reaction score
5
Watanzania wenzangu,mimi ni mtanzania kama ninyi na moja kati ya watu ambao wanatafuta changes ndani ya taifa letu,vijana wenzangu sisi tupo wengi sana na wengi wetu tunatumiwa kama vibaraka,huu ni wakati wetu wa kuiishi tanzania tuitakayo,KUMBUKA...UWEZO,UFANISI,NA UZURI WA KITU unaendana sana na MAZINGIRA,KIZAZI,MUDA,IDADI YA WATU hvyo basi kilichokua kizuri 50 years back not neccessary kiwe kizuri leo,ninachokimaanisha ni kwamba hii aina ya style tunayotumia kuendesha maisha ni OUTDATED haitufai at all,hapo hapo ulipo wajibika kwa nafasi yako
 
Back
Top Bottom