Alisikika mama mmoja akisema "aaaaaah! mimi mda wa kujiremba umekwisha
bwanaa nilijiremba nilipo kua sijampata baba ako wewe ndio wa kujiremba"
akimwambia binti yake ambae
hajaolewa nikajifunza kwamba kumbe wanawake kiuhalisia wakisha olewa hupunguza
kujiweka soap soap kwasababu wamesha olewa? au yule mama alisema tuu kama utani,
TUSAIDIANE WAJAMENI...