Wewe mkata tiketi Azam Fast Feries

Poleni😄
 
Wewe kijana mkata tiket azam fast feries jana jion dirisha namba 4 hapo Dar una kiburi na huna huduma nzuri kwa wateja.
Tajiri hapo vijana wanakuharibia kazi, tulichukia sana kwa kweli
Huyo kijana ni mweusi na ana miaka 28-33, ana dharau na ni Boya kweli . Kuna siku elfu tano yangu ilichanika kidogo akagoma kupokea, nikamwambia hii hela haijaharibika kivile, isitoshe nyie mna deposit bank akagoma,. Abiria wezangu waliokuwa nyuma yangu wakamwambia hiyo hela haijachanika vibaya..

Akagoma na kunijibu nikadepost chooni kwangu, nikapanic na kumtukana ya nguoni, kwa kuwa Kuna kioo kimetutenganisha akajaribu kunivuta mkononi kwa yale madirisha na mkononi nina kitambulisho, bahati nzuri alinishika vibaya nikamsukuma ... mwishowe wale walinzi wakaja, na kunipereka kwa wale polisi wa getini,. Wale polisi walinielewa wakaniacha nikaenda Zanzibar 1 kukata ticket na Wala hawakubagua wakaichukuwa hiyo hiyo 5,000/=
 
Labda hataki kutumia sauti yake kazini ataenda kuitumia home kwa basha wake.!!
 
Mkuu. VIP 350,000 kuna swimming au? Hahahaha dah bei ya ndege.

Unaweza kutugusia gusia vilivyomo VIP?
Kiukweli mkuu nisiwe mwongo sijawahi panda hiyo VIP, huwa naishia platinum tu.! Platinum iko luxury, siti kubwa na vionjo vionjo vichache vitakavyokufanya uwe more comfortable, na pia unaweza kubahatka ukapa pisi kali au ukamvua mzungu pisi yake, ila ndo ujipange.!
 
Mbona kijana jeuri sana na anaachwa tu?
Isije kuwa kuna boss anamtembezea mkuyege, baadhi ya vijana ovyo sana,
 
Hako kadirisha hakatoi nafasi ya kumchapa kibao!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…