anawakimbizaHao shombe wako na dharau sana.
Pole mkuu hapo zaman kulikua hakuna mbadala, sasa hivi wana mpinzani wao anaitwa Zanzibar one fast ferry, wana huduma bomba sana.
wala hana ushombe ni mswahil kijana flan hiv maji ya kunde ana tundevu ndevu kamkosesha baharaesa hela.Hao shombe wako na dharau sana.
Pole mkuu hapo zaman kulikua hakuna mbadala, sasa hivi wana mpinzani wao anaitwa Zanzibar one fast ferry, wana huduma bomba sana.
nafikir amekariri kila anayeenda pale ni mmuunguja akifika anatoa 30000 anapewa daraja la kawaida.kumbe kuna wateja wanataka kwemda ku enjoy zanzibar anataka apate daraja vip.yeye kwanza hatoi sauti unamuuliza mpaka unafanya jitihada kuchungulia kwenye kadirisha umsikie sauti punbav kabisaKuna mtu aliwahi kuandikaga humu
BONGO customer care bado sana , ni mbovu mno
Huskilizwi wala huelekezwi yani mtu anasahau kilichomweka hapo anakumbuka njaa zake binafsi tu
Ungetafuta namba zake umpe makavu live. Pia ungeweza kutafiti kama tabia yake ya kila wakati au hiyo siku hakuwa sawa. Siku hazilingani. Kumsimanga humu jf, ni kama kumpikia majungu au kumfanyia fitna ilihali kijana anatafuta riziki yakewewe kijana mkata tiket azam fast feries jana jion dirisha namba 4 hapo dar una kiburi na huna huduma nzuri kwa wateja.Majira ya jion jana sisi wengine hatujawah kufika zanzibar hatujui madaraja hatujui nauli kias gani au zile ethics zote za huduma kwa wateja.Unakaa unakunja kunja midomo hujibu hutoi sauti unaona kama wewe ndio abubakar.
wafanyakaz waswahil siku zote ndio mnajiona.tajiri kakaa huko anajua mna huduma nzuri kumbe mmekaa tu.jana mama kabidi aende zan fast feris kwa hasira tu ya jinsi mnavyo handle wateja mnamkosesha hela tajiri,badala uwe sharrp lugha nZuri umuelezee mteja seat zipi nzuri umekaa kuvuta midomo utafikir mtoto wa kike husem seat kama silver na gold ipi nzuri.
ushauri
tajiri hapo vijana wanakuharibia kazi.tulichukia sana kwa kwel
Cha kushangaza sasa Boss wao na aliyemweka hapo huyo ( huyu ) Popoma ni Muungwana, Mnyenyekevu na Mkarimu hakuna mfano halafu Kwake hana Msamiati wa Roho Mbaya na Uchoyo.wewe kijana mkata tiket azam fast feries jana jion dirisha namba 4 hapo dar una kiburi na huna huduma nzuri kwa wateja.Majira ya jion jana sisi wengine hatujawah kufika zanzibar hatujui madaraja hatujui nauli kias gani au zile ethics zote za huduma kwa wateja.Unakaa unakunja kunja midomo hujibu hutoi sauti unaona kama wewe ndio abubakar.
wafanyakaz waswahil siku zote ndio mnajiona.tajiri kakaa huko anajua mna huduma nzuri kumbe mmekaa tu.jana mama kabidi aende zan fast feris kwa hasira tu ya jinsi mnavyo handle wateja mnamkosesha hela tajiri,badala uwe sharrp lugha nZuri umuelezee mteja seat zipi nzuri umekaa kuvuta midomo utafikir mtoto wa kike husem seat kama silver na gold ipi nzuri.
ushauri
tajiri hapo vijana wanakuharibia kazi.tulichukia sana kwa kwel
nilikuwa najitahid kumuuliza daraja lipi zuri mama yangu alikuw kishakasirika ikabid tutoke tunaondoka wala hawatuuliz abiria mbona mnaondoka.kwanza hatoi sauti hakuna kitu kinakera hujibu wakat kazi iliyokuweka inakuhitaj utoe sauti.View attachment 2255057Nilishawahama muda tu, huduma zao haziridhishi, sometimes wanabania ticket za economic wanauza VIP, ukienda VIP hakuna maajabu, huduma za Zan Fast Ferry ziko poa sana.!
Sana,anawakimbiza
Sio yeye tu,ni wote kauli zao za ovyo,dharau na maringo mengiwala hana ushombe
ni mswahil kijana flan hiv maji ya kunde ana tundevu ndevu
kamkosesha baharaesa hela.
badala kwamza kaa upokee mteja kwa lugha nzuri.
iwinde hela yake.muelezee aina ya madaraja yaliopo vutia kwa lugha nzuri madaraja yale ya bei kubwa kwa mfano jana mim ndio nimejua kuna gold,silver na platinum
toa maelezo vizuri shawishi yale madaraja ya juu sifia uza hizo seat.