Weupe ni Uzuri tosha

Lakini mbona sijawahi kuwasikia watu weupe wakijinadi kama weusi? Oooh! Black is beauty! Sasa na weupe waseme nini? White is ......
 
Hakuna mtu mweupe duniani. Hebu angalia rangi ya sukari, chumvi, maziwa au chokaa halafu niambie umewahi kumuona mtu "mweupe". Hebu tuacheni hizi kasumba zisizo na tija!
 
asikudanganye mtu. ule weusi siii unaong'aa halafu wa kuteleza kama wanyarwanda, baadhi ya wahaya na wamasai ndio mpango mzima halafu siku hizi ni adimu kweli
 
Mbona flaviana matata &alek wek wako juu pia ni weusi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…