Imeharibiwa na nani , jaribu kujitambua , , ukiwa unaenda labda sokoni , ukabanwa haja si itaenda kujisetiri , alafu uendelee na safari, hivyo safari moja , inawezwa anzishwa na nyingine humo humo.
Hatukimbilii tu , tunataka tuone ukweli halisi , kwa mustakabali wa waafrika, tusishangilie tu magorofa , tuone pia binadamu wanaishi salama ? Katikati ya hayo maghorofs
Yeah , na uhuru tuliwasaidia kupata na watu wao waliishi Tz, wakati wanapopigania uhuru , ndio maana ,Mandela alipotoka gerezani alikuja kwanza kukanyaga Tz , kwa kutoa shukrani zake