Westernization Vs Africarnization | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Westernization Vs Africarnization

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Sep 1, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Hapahitajiki debate kua mfumo wa Westernization ambao is an article about the influence of Western culture.
  Customs ya Western ndiyo civilization ilipoanzia , na baadae wakaja kuwafundisha Africarnization ustaarabu.

  Ndivyo ilivyo kwamba kwetu sisi , mengi tuyafanyayo yafananayo na umagharibi ndivyo tuonekanavyo tupo advance with present time .

  Leo nitaanza kulisemea moja, la MAVAZI especially ya Wadada.
  Hawa dada zetu mlio hapa mnapovaa nguo za KICHOKOZI au UTATANISHI yaani mf. Vile vimini vya tepetepe, transparence vya robo au nusu uchi malengo yenu nini?

  Aidha hapa Jamvini nimeshakutana na posts kadhaa za male members zikisifia nguo hizi za wadada zilizoibuka masiku ya karibuni ambazo huonesha mstari utenganishao matiti , na nusu ya matiti kwa eneo la juu kubaki nje wazi , (kama gazeti hivi ! )
  Then nikawasikia baadhi ya wakaka wakisifia hiyo fashion kwamba kwao ni burdani waonapo.

  Hapa nina maswali mawili kwa wakaka na mawili kwa wadada.
  Kwa wakaka ;-
  1. Ikiwa unavutiwa na hii mivao ya kimagharibi, je? Iwapo Dada , Mke, Feancee, Aunt wako nae atakua ni muumini wa mivao hiyo utaburudanika pia?
  2. Je? Unaisemeaje mivao ya Kiafrika na ya Western ipi ndiyo iko kimaendeleo ?

  Kwa wadada ;-
  1. Mvaapo kimagharibi dhamira hua mnampendezesha mwanamke mwenzio au mwanaume? Zingatia mwanamke mwenzio ayaonapo matitiyo itamshawishi au kumvutia nini ?
  2. Je? Mnaamini uvaaji wa western ndiyo mwenda na wakati na mnakua more advance Kimaendeleo ? Na mivao ya kiafrika iko late time ?
   
 2. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0


  replies in blue
   
Loading...