Western media

Keyboard warriors katika harakati zao.Ubabe wa mitandaoni.
 
Watanzania wewe waambie samata hajapewa pasi na mchezaji mwenzie huko sijui club gani, au kocha wa club gani sijui huko hajampanga samata...watafurika kama nzige Kwa matusi na maneno makali kwenye page za club husika mpk Dunia itasimama...ila sasa Kwa mambo ya ustawi wa nchi yao hautawaona..
 
Tunabidi watanzania tubadilike tuungane pamoja tupambane na huyu nduli CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…