Mkuu mila na desturi zipi? Angalia Mwita Maranya asije akakurukia.ila kweli anadumisha mila na desturi, mi sishangai hata kidogo
Wakuu mbona wengine hapa mnatuacha kando, mnaposema anadumisha mila mna maana gani???ila kweli anadumisha mila na desturi, mi sishangai hata kidogo
ila kweli anadumisha mila na desturi, mi sishangai hata kidogo
kweli ndugu yangu na masikitiko makubwa zaidi eti alikuwa jaji! nani alimteua kuwa jaji? ina maana kuna majaji wengine ktk mahakama zetu wa aina hii.madaraka ya kupeana ndio madhara yake
kweli ndugu yangu na masikitiko makubwa zaidi eti alikuwa jaji! nani alimteua kuwa jaji? ina maana kuna majaji wengine ktk mahakama zetu wa aina hii.