wenyewe mpo.hodii

wenyewe mpo.hodii

bidada

Senior Member
Joined
Jan 12, 2012
Posts
127
Reaction score
65
mi mgeni naombeni mnikaribishe,pokeeni na mikungu ya ndiz toka tukuyu
 
karibu sana.........ukikaribia uyole uniambie....
 
Karibu, BIDADA. ni BiDada wa ukweli au we ni ME.
 
asante nishakaribia, ila uyole nishapita
 
Karibu bidada, humu kuna kila kitu. Zaidi ya soda.
 
asanteni wapendwa nimekaribia na sweta nimevua maana kuna joto humu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom