Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji zaidi ya 15 Tarime Vijijini wa CCM Wamejiuzulu mbele ya Mbunge wao Mwita Waitara

Hao wenyeviti wajiandaye na kesi za:- (a) kukutwa na bangi mashambani,
(b) ngozi za chui majumbani na
(c) kukutwa na mitambao ya gongo.
... bila kusahau kukutwa na nyama kavu ya nyati majumbani mwao!
 
Inavyoonekana system haimtaki Huyu bwana, kule Kuna mwenyekiti wa mkoa na wilaya wa CCM mbona hatusikii maoni Yao au YEYE anafanya kazi nje ya chama
 
Ajiuzulu wote Waitara na Kairuki, waige mfano wa hao wanyeviti wa vijiji huko Tarime.
 
Hao wenyeviti wajiandaye na kesi za:- (a) kukutwa na bangi mashambani,
(b) ngozi za chui majumbani na
(c) kukutwa na mitambao ya gongo.
Huijui tarime wewe tulia. huko ndo ukombozi wa nchi ulikoanzia. no fear.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…