Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wagoma

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,176
10,068
Katika kile kinachoonekana kwa watendaji hawa wa Serikali katika Ngazi ya Mitaa kutofurahishwa na uamuzi wa kupokwa Mihuri yao na kulazimishwa kukasimisha baadhi ya Majukumu kwa watendaji wao wameamua kugoma kuanzia leo.

Japo kuna tetesi kuwa kuna Viongozi wenzao hasa kutoka chama fulani wamewasaliti wenzao.
Taarifa kamili zitakuja
 
Back
Top Bottom