Wenyeviti wa CCM mikoa yote, Wataoa Pongeza kwa Rais MAgufuli, Makamu wake Mama Samia Suluhu

Wenyeviti wa CCM wa mikoa 19 kati ya 30 Walikuwa team Lowassa, ni wazi tamko lao ni la kinafiki!
 
Pongezi gani hizo za kinafiki...
Toka Magufuli aanze kukimbizana na majipu sijamsikia Kinana wala Nape akitoa pongezi, na wao naona ni majipu pia.
Mungu mlinde JPM
 
Tamko hili limetolewa baada ya mwezi mmoja. Hii ni baada ya Rais kuchukua hatua kadhaa kiutendaji. Sasa wewe ulitaka tamko hili litolewe lini? Au ulitaka litolewe siku ya kwanza tu? Wakati mwingine tunalazimika kutafakari kwanza kabla hatujatoa hoja.

Pongezi za kuchaguliwa nazo zilihitaji mwezi mzima kweli...! Hata hivyo tunawashukuru kwa kutuletea Magufuli.
 
Back
Top Bottom