popo1986 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 1,120 Reaction score 373 Mar 30, 2016 #1 Wanajamvi habari za asubuhi, Leo nimeibuka na kuomba msaada wa mrejesho juu ya bei za vyumba hapo mbinga mimi ni mgeni hapo napenda chumba chenye self contained au kingine kila kiwe kizuri wakuu na wenyeji wa mji. Naomba msaada waungwana.
Wanajamvi habari za asubuhi, Leo nimeibuka na kuomba msaada wa mrejesho juu ya bei za vyumba hapo mbinga mimi ni mgeni hapo napenda chumba chenye self contained au kingine kila kiwe kizuri wakuu na wenyeji wa mji. Naomba msaada waungwana.
kaboli JF-Expert Member Joined May 13, 2015 Posts 457 Reaction score 365 Mar 30, 2016 #2 Kwa ninavyoijua mbinga,chumba kizuri hakizidi elfu 25.
popo1986 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 1,120 Reaction score 373 Mar 30, 2016 Thread starter #3 kaboli said: Kwa ninavyoijua mbinga,chumba kizuri hakizidi elfu 25. Click to expand... Mkuu unamaanisha Nini kwamba mbinga bado haijachangamka ki hivyo.....?au hakuna wapangaji
kaboli said: Kwa ninavyoijua mbinga,chumba kizuri hakizidi elfu 25. Click to expand... Mkuu unamaanisha Nini kwamba mbinga bado haijachangamka ki hivyo.....?au hakuna wapangaji