mie nafikiriaga wanaume wa kiafrica wana zero tolerance towards ladies afections...ukimuonyesha paja tu tayari kadinda,ndio maana wana stori za kijinga kama kutandikia kitanda na house gal ndilo linalompelekea kulala naye,hawa viumbe ni hopeless:tape2:
Sawa na nyie wa nyumbani mjifunze hayo sio mnalaumu tu wenzenu wa saloon, na wax ni nini katika saloon za wanawake.
nzuri mkuu tusijibweteke tukikwapuliwa tunakuwa wakali au kuja kulalamika JF
Wanaume wa kiafrika akili zote zipo kwenye k
umesema vema. wenzetu wazungu massage ni kitu cha kawaida na hakiwastui, lakini huku bongo toka massage zimekuja wanaume wanachanganyikiwa.
hata wewe mkuu akili yako ipo kwenye kula..
huko nyumbani tutafanya mangapi? tupike, kufua, usiku tukeshe, tuongezee na scrub, massage, facial, eeh mbona tutakoma?
habari zenu...
jamani wanawake muwe makini sana waume/wapenzi wenu wanapokwenda saluni kunyoa (barber shop). huko kuna wadada wamekaa kiwiziwizi sana, kuanzia nguo wanazovaa, mapozi yao, lugha, etc. tena wanaume wakiingizwa huko chamber kufanyiwa sijui massage, facial, scrub, etc. kuna mambo mengine yanayoendelea huko zaidi ya niliyoyataja.
na nyie wanaume mkienda saluni muwe ngangari sio mkifanyiwa massage kidogo na kusuguliwa kidevu basi mnaishiwa kabisa. muwe strong jamani....
ni hayo tu.
usiku mwema kwa wote.
lol.....unaweka mgomo?halafu eti wenyewe ni kuangalia mpira na sijui upuuzi gani....likija baadae linakoroma hata hulali vizuri,mwenzio rahaa tupu wkati ww upo physically tired lol...ila wajasiriamali unaweza ukafungua chuo cha hayo madude ya scrub naona kuna demand siku zinavyoongezeka lolhuko nyumbani tutafanya mangapi? tupike, kufua, usiku tukeshe, tuongezee na scrub, massage, facial, eeh mbona tutakoma?
Nyie wanawake wapuuzi kweli nyie uzuri wa kwenye kioo mnajiona basi kitandani zero ndiyo maana majogoo yetu yanashituka shituka hovyo..