👊Kama unanua pagale saw a,ila nyumba sikushauri maana Wabongo wengi vipato ni duni wanajenga nyumba kwa kubangaiza pasipo quality plus akina funding Michael ni sawa na kupoteza pesa.
1.Swali la kwanza halina mantiki yoyote, ukienda kutoa pesa bank hua wanakuuliza unaenda kuzifanyia Nini
2,3,4- gharama utatozwa pale unapotaka kubadilisha document, kama umenunua nyumba Ina hati utaenda tra kufanyiwa makadirio kutokana na gharama ya nyumba yenyewe, kama nyumba Ina ofa... Wewe utaomba Hio ofa uende ardhi uombe hati... Kuna gharama zinalipiwa ndio ila sio ghali sana, hakikisha kabla hujanunua Hio nyumba fika ardhi ujue kama kiwanja kina deni kiasi Gani kwanza, na bank kama haijachukuliwa mkopo
Speaking of that. Hivi nyumba za mbagala kwanini wanauza bei poa vile? Au mbovu?Nyumba quality zipo ila sio hizi mpya za mbagala usinunue kabisa.
Ukienda ofisi ya mipango miji,ukiulizia kwa kutumia copy ya hati,utapewq taarifa zote,kama inadaiwa benk,ina mgogoro nkShukrani sana ndugu yangu, je kwenda bank kuangalia kama aijachukuliwa mkopo nazunguka bank zote au ?
😂😂Ule ni mradi wa kujenga na kununua kwa vile ardhi ya kule haina thamani yaaani nyumba ya 50mil unaona kali ila ni hovyo ndani.Speaking of that. Hivi nyumba za mbagala kwanini wanauza bei poa vile? Au mbovu?
Moja tu Wana system iliyounganika, ukichukua sehemu Moja kote inaonekanaShukrani sana ndugu yangu, je kwenda bank kuangalia kama aijachukuliwa mkopo nazunguka bank zote au ?
Kwa kina adriz huko nyumba ya kisasa million 25Shukrani, sio mbagara ndugu yangu ni maeneo ya mbezi goba
Hizo ndio kod ambazo azima uzilipeView attachment 2737826
1.Swali la kwanza halina mantiki yoyote, ukienda kutoa pesa bank hua wanakuuliza unaenda kuzifanyia Nini
2,3,4- gharama utatozwa pale unapotaka kubadilisha document, kama umenunua nyumba Ina hati utaenda tra kufanyiwa makadirio kutokana na gharama ya nyumba yenyewe, kama nyumba Ina ofa... Wewe utaomba Hio ofa uende ardhi uombe hati... Kuna gharama zinalipiwa ndio ila sio ghali sana, hakikisha kabla hujanunua Hio nyumba fika ardhi ujue kama kiwanja kina deni kiasi Gani kwanza, na bank kama haijachukuliwa mkopo
Kwa kina adriz huko nyumba ya kisasa million 25
Kaa humu ,This case is Closed ,Boma Ye ,Boma Liwanza.
Kuongeza tu.
-Kuna Nyumba zenye Hati ya Kimtaa(Hapa utafanya upelelezi wa chini kwa chini kwa majirani kujua mmiliki wa hiyo nyumba),hapa katika Mauzo kuna Serikali za Mtaa macho Kuona watataka nao 10% ya mauzo ila hii negotiable ,pia kama mdau Mr Mutuu alivyosema ,ni lazima ufanye cross check kwenye Mabank kuweza kujua kama hiyo nyumba yenye details based na hati yake kama imewekwa Bond(kama ina Mkopo).
-Survey Plot(zenye hati ya Halmshauri/Manispaa/Ardhi) hizo ni kwenda kwenye mamlaka husika na kwenda kufanya verification umiliki wa huyo mtu maana kuna picha zake ,pia Bank lazima uende ku cross check.