Wenye ujuzi na kutumia kinemaster app nawaombeni mnisaidie

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,194
Habari za majukumu wadau wa tech. Lengo la kuandika thread hii ni kuomba mnisaidie. Kuna video clips nimezichukua kwa simu camera, nataka kuziunganisha kwa kutumia kinemaster app. Lakini tatizo ni kwamba nikiwa naunganisha video clip inaplay, ikikaribia kufika mwisho inastop. Na clip inayofuata ni hivohivo, inaplay na ikikaribia kufika mwisho instop. Sasa sijajua tatizo ni nini. Nawaombeni mnisaidie kama kuna mtu anajua. Pia kama kuna app nzuri ya kuedit video nitakuomba unambie. Natanguliza shukurani🤛🤛🤛
 
Back
Top Bottom