Wenye Samsung Galaxy Note 7 watakiwa kuzizima

Wajuvi nisaidieni hili. Nilikuwa na note 2 pamoja na kwamba ni ya zamani kidogo lakin leo wakati natoka kazini screen imefreeze na kuwa nyeupe. Nimejaribu kila njia mpaka hard reset inakataa.. sasa sina imani tena na samsung. Bora tecno. Kwanza bei rahisi ikifa hakuna kuumia
 
Sizimi yangu mpaka iwake moto. Siwezi kuiacha hii simu kwa kweli maana nitamu balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…