Wenye noah za biashara

Sure man

New Member
Joined
May 31, 2017
Posts
4
Reaction score
0
Wadau naomba kujuzwa nina noah nahitaji niifanyie biashara ya usafirishaji.Naanzia wapi?maeneo gani naweza kupata wateja?Nipo dar
 
Hiyo biashara ni pasua kichwa nakushauri achana nayo.Kama utaendesha mwenyewe haina shida ila kama ni kumpa dereva narudia tena achana nayo.
 
MKUU NIKO MBAGARA KONGOWE HUKU ZINATUMIKA KUBEBA ABIRIA.KAMA HUNA MUDA NAWEZA KUWA DEREVA WAKO
 
Weka njia ya bagamoyo VIA msata. Ziko zinafanya kazi uku
 
Kawombwe na perfectz naomba mnitumie ujumbe ili nipate namba zenu niweze kuwauliza macheche kuhusu hayo maeneo.0712001428
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…