S Sure man New Member May 31, 2017 4 0 Jun 13, 2017 #1 Wadau naomba kujuzwa nina noah nahitaji niifanyie biashara ya usafirishaji.Naanzia wapi?maeneo gani naweza kupata wateja?Nipo dar
Wadau naomba kujuzwa nina noah nahitaji niifanyie biashara ya usafirishaji.Naanzia wapi?maeneo gani naweza kupata wateja?Nipo dar
Dezoizo52 JF-Expert Member Jan 30, 2017 527 1,064 Jun 13, 2017 #2 Hiyo biashara ni pasua kichwa nakushauri achana nayo.Kama utaendesha mwenyewe haina shida ila kama ni kumpa dereva narudia tena achana nayo.
Hiyo biashara ni pasua kichwa nakushauri achana nayo.Kama utaendesha mwenyewe haina shida ila kama ni kumpa dereva narudia tena achana nayo.
M MCHEBETE JF-Expert Member Mar 4, 2016 314 521 Jun 13, 2017 #3 pasua kichwa hiyo kama bodaboda,unless endesha mwenyewe kidogo faida utaiona
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 9,009 28,102 Jun 13, 2017 #4 MKUU NIKO MBAGARA KONGOWE HUKU ZINATUMIKA KUBEBA ABIRIA.KAMA HUNA MUDA NAWEZA KUWA DEREVA WAKO
Nasri Julius Member Apr 23, 2017 27 4 Jun 13, 2017 #5 Perfectz said: MKUU NIKO MBAGARA KONGOWE HUKU ZINATUMIKA KUBEBA ABIRIA.KAMA HUNA MUDA NAWEZA KUWA DEREVA WAKO Click to expand... Kwamkataba unakubari tukae chini
Perfectz said: MKUU NIKO MBAGARA KONGOWE HUKU ZINATUMIKA KUBEBA ABIRIA.KAMA HUNA MUDA NAWEZA KUWA DEREVA WAKO Click to expand... Kwamkataba unakubari tukae chini
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 9,009 28,102 Jun 13, 2017 #6 Nasri Julius said: Kwamkataba unakubari tukae chini Click to expand... Kesho nitakwenda kuulizia mchakato mzima kisha nitakujulisha.Ni PM namba yako
Nasri Julius said: Kwamkataba unakubari tukae chini Click to expand... Kesho nitakwenda kuulizia mchakato mzima kisha nitakujulisha.Ni PM namba yako
S Sure man New Member May 31, 2017 4 0 Jun 13, 2017 Thread starter #7 nashukuru kwa mawazo yenu wadau
kawombe JF-Expert Member Mar 26, 2015 13,574 14,883 Jun 13, 2017 #8 Weka njia ya bagamoyo VIA msata. Ziko zinafanya kazi uku
S Sure man New Member May 31, 2017 4 0 Jun 14, 2017 Thread starter #9 Kawombwe na perfectz naomba mnitumie ujumbe ili nipate namba zenu niweze kuwauliza macheche kuhusu hayo maeneo.0712001428
Kawombwe na perfectz naomba mnitumie ujumbe ili nipate namba zenu niweze kuwauliza macheche kuhusu hayo maeneo.0712001428