Wenye Nissan Dualis nawatamani sana hamjui tu

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,090
2,705
Leo nimeanza kujichanga ninunue Dualis nissan.

Siwezi sema kiasi gan naitamani hii gari ila mjue tu nikiiona akili yangu huwa inataka kuweuka.

Mimi sina gari,

Sijui kuendesha ( siyo 0 kabisa no)
Sikuwaga na interest za magari
Ila sasa kuna hii gari imetokea inaitwa ……

IMG_9781.jpg

IMG_0180.jpg

IMG_0182.jpg

Yaan kiasi kwamba niki Nikimuona mtu anaendesha hii gari naona ANAISHI KWENE ndoto yangu kabisa. Namtamani ningekua ndo mimi naimiliki
nipeni ushauri nisije nikajikuta nimeuza had kabanda kangu kisa kutafuta milion22 za hii gari

$AVING ~i
Nimeanza kukusanya hela saizi nina 3000/= nimeitia kwa kibubu
 
Attachments

  • IMG_0181.jpg
    IMG_0181.jpg
    45.3 KB · Views: 15
Labda ksbb hujawahi kumiliki ndinga mkuu. Hizi sio gari nzuri sana. Bora hata uwe na Raum kuliko hizi Nissan. Tena kama unaanza na gari anza na Toyota tu. Hii Nissan duas inashika moto sana nafikiri kuna mahala ilikosewa. Japo ktk Nissani nyingi hii duas ndio ina body imara tatizo lake tu kushika moto na jinsi nakshi zake za huko ndani kama vile vitambaa ndani kubanduka. Juu kwenye roof,ina shida pia kwenye gear box.

Ukiipata hii uwe makini sana. Japo kwenye kushika moto hakuna umakini. Kuna sehemu kwenye engine zinapita pipe za brakefluid na mkono wa staring vinapishana hapo ndio unaanziaga moto. Ukiipata mpya unamwambia fundi tu atenganisha kidogo mitaa hiyo. Hapo na roof ya ndani juu na pembeni kwenye makava unatoa yale madude unaweka lezer. Hapo uta-enjoy,japo itahitaji umakini sana
 
Tamaa itaponza jicho kuwa makini

una maana gani?? kila nilichonacho kimeanza na tamaa bila tamaa hata hii simu ninayopost nisingepambana kuipata.

simu yangu ya kwanza ilikua n 2006 nipo form one .Nilitaman watoto wa kitasha walivokua wanatujia na simu na rafiki zangu.
Nikaenda vibarua nikanunua vodafone ya batan kama unakumbuka
 
Labda ksbb hujawahi kumiliki ndinga mkuu. Hizi sio gari nzuri sana. Bora hata uwe na Raum kuliko hizi Nissan. Tena kama unaanza na gari anza na Toyota tu. Hii Nissan duas inashika moto sana nafikiri kuna mahala ilikosewa. Japo ktk Nissani nyingi hii duas ndio ina body imara tatizo lake tu kushika moto na jinsi nakshi zake za huko ndani kama vile vitambaa ndani kubanduka. Juu kwenye roof,ina shida pia kwenye gear box.

Ukiipata hii uwe makini sana. Japo kwenye kushika moto hakuna umakini. Kuna sehemu kwenye engine zinapita pipe za brakefluid na mkono wa staring vinapishana hapo ndio unaanziaga moto. Ukiipata mpya unamwambia fundi tu atenganisha kidogo mitaa hiyo. Hapo na roof ya ndani juu na pembeni kwenye makava unatoa yale madude unaweka lezer. Hapo uta-enjoy,japo itahitaji umakini sana

kwene kupata moto hapo!! huwezi kwenda nayo masafa marefu.
Lets say mbeya hadi Arusha haifiki?
 
Back
Top Bottom