Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Wale wanaojipa matumaini kuwa katika awamu hii kutatokea muujiza wa Tanzania ya viwanda ningependa kuwauliza hivi Maisha bora kila mtanzania mliyapata?
Vipi Wakulima, je mlifaidika na kilimo kwanza?
Kama kilimo kwanza ilishindikana unawezaje kujipa matumaini kuwa awamu hii mtapata viwanda?
Ni kwanini CCM kila awamu inakuja na kaulimbiu mpya bila kutekeleza ya zamani?