Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Kwan kuna shida gan,we sema unaenda kukojoa ukiingia saula kunya ama huwa mnaingia na konda chooniTatizo nabishana na wajinga na wezi wasiojua maana ya choo.choo ni kwa haja zote.tulioishi ulaya tunajua maana ya choo kwamba ni haja zote.mbona kwenye ndege hakuna hizo restriction ya aina haja kubwa au ndogo kwenye usafiri.mischojua ni kwamba wenye hayo mabasi wanakwepa garama za kufanya usafi.mabas hayo hayo ya kichina hapo nairobi tu unapata huduma zote za choo.nikae najibana kula kwa faida yako ukwepe garama za usafi.
Kuanzia leo ukiingia kwenye basi lolote lenye choo wala usiulize wewe achia haja zako.wakikughasi washtaki mimi ni wakili mzoefu nitakutetea.Tanzania kuna mambo ya ovyo.mno.
Kwa hili tunaomba msimamo wa LATRA
Hilo sio swali kwa abiria ni jukumu la konda kuhakikisha choo ni kisafi muda wote,unless wakitoe km hawawez kuhudumiaUnalipia choo,Kila abiria akitumia choo itakuwa basi kweli hilo
Unaujua mchanganyiko wa mahindi,karanga,mayai plus chips Kuna watu kula kula hovyo ndio jadi Yao litakuwa basi kweli hiloHilo sio swali kwa abiria ni jukumu la konda kuhakikisha choo ni kisafi muda wote,unless wakitoe km hawawez kuhudumia
Tatizo ni baadhi ya abiria walikuwa wanatumia kinyesi kuandika ndani ya choo na dirishani.Unakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.
Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi
Umezoea kupanda basi chakavu wewe.. kuna basi hazina hata choo ila ni 45k , sababu kubwa ni usafi, uzuri, confortability etc..Unakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.
Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi
We dogo. Ulitaka ukunye ndani ya gari?Unakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.
Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi
Wabongo vitu vidogo wanashindwa kujiongeza, Mimi nimeshatumia hivyo vyoo safari kadhaa kukata gogo.Kwan kuna shida gan,we sema unaenda kukojoa ukiingia saula kunya ama huwa mnaingia na konda chooni
Umesema ukweli. Sema hapo kwa clips weka crispsKwahiyo unataka kunyakunya njia nzima?
Ukisafiri hakikisha huli vyakula zaidi ya maji, juice na clips.
Hivi unashindwa vipi kuvumilia kula vyakula kwa masaa 8 mpaka 12?
Huduma ya mkono ndio muhimu zaidi, lakini ikitoka kwa dharura tumbo limezinguwa hivyo vyoo unatumia.
Halafu bei ya luxury siyo kwa sababu ya huduma ya vyoo Bali ni ile comfortable ya two by one na kunyoosha miguu space ni kubwa.
Daaa dada kwani unahara? ...Ile ni huduma haja ndogo tu ....ukishikwa omba bus lisimame ujisitiriiUnakwenda kukata tuketi wanakuambia bus ni luxury choo ndani. Unalipa elfu 45 badala ya 33 kwenda Moshi au Arusha, umelipaa elfu 12 zaidi ili upate huduma ya choo.
Cha ajabu unaambiwa eti ni haja ndogo tu. Kwani nini maana ya choo? Huu ni uwizi